9 comments on “MARTHA MWAIPAJA AZUNGUMZIA NDOA YAKE NA MCH. JOHN SAID.

  1. Napenda sana kazi zako dada martha,hasa kazi yako ya usikate tamaa. inanibariki sana dada yangu. Mungu akupe nguvu na mazuri mengi zaidi uzidi kutuinjilisha kwa nyimbo. Mungu alinde ndoa yako.

  2. Namtukuza Mungu aliye hai kwa ajili yako Martha pamoja na mumeo. Mungu awabariki na kuwatunza tena awaepushe na hila za yule mwovu. Ndoa yenu iwe baraka siku zote. Amen.

  3. Wengi wanasema utaacha kuimba kwa sababu utakuwa na majukumu ya umama mchungaji lakini mungu akusaidie usiiache kazi aliyokutuma duniani……utakula hasara mbinguni best….all da best

  4. JEHOVA awainue na kuwapa AMANI maishani mwenu.Amen.Nyimbo unazoimba dada yangu Martha zinanibariki sana.SONGA MBELE dada yangu.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s