16 comments on “JE! NI SAHIHI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO KUTUMIA MASHINE YA KUSIMAMISHA MATITI???

 1. Hii hatari…naona ni vibaya kuitumia sayansi kuingilia kazi ya Mungu.Mara zote hata ktk nchi zilizoendelea kuna mipaka inayoi-govern Advanced Science.Hivyo ni busara zaidi ktk nchi zinazoendelea kujiandaa dhidi ya vitimbwi vya “Advanced Sc…ience” kwa kuweka miongozo kinzani,badala yake tukaribishe “Applied Science”.Tukishangaa-sahangaa,wataanza ku-produce GMO(Genetically Modified Organisms,..foods) itakuwa hatarizaidi

 2. Ni jambo baya kubadilisha viungo kutoka uasili wake, kwa jinsi Mungu alivyotuumba yafaa tuwe vivyo hivyo. Lakini hii yote hutokana na kuto kujitambua, na kujitambua huja kwa kumjua Mungu..

 3. Si sahihi hata kidogo kama maziwa yamelala jaman ndo maana kuna “BRA” tuvae hizo jamani twamuhuzinisha sana MUNGU wetu aliyetuumba

 4. Ili apate nini,kwa faida ya nani! hakika tumeruhusiwa kutawala viumbe vya dunia ikiwa ni pamoja na malazi mavazi,chakula na viumbe,lakini ili la kutanua makalio,kusimamisha matiti halina nafasi kwa mkristo halisi kwani halina tija katika ukristo kwani nia na malengo yake yanabase katika kuamsha tamaa ya mwili kwa wanaume.

 5. kwa sasa seckta ya afya imekaa kimya watu wakishaumia ndo watajitoa vimbelembele kufanya uchunguzi! sidhani kuwa ni salama kubadilisha maumbile yako na ukabaki bila matatizo, WANAWAKE ACHENI UJINGA, UTUMWA NA KUJIATARISHIA MAISHA YAKO KWA K…IWANGO HICHO, KWANI MWANAUME NI NANI MPAKA AKUFANYE UJITUMIKISHE NA KUWA KAMA MPUMBAVU KIASI HICHO? ETI MATITI YASIMAME NDO MVUTO WAKO UONEKANE KAMA NI HIVYO ITAFIKIA MAALA SASA MTATAFUTU DAWA ZA KUZUIA UZEE ILI MUENDELEE KUWA MABINTI! NINAUMIA SANA KWA BAADHI YA WANAWAKE WASIOTUMIA AKILI NA WASIOKUWA NA HOFU KWA MUUMBA WAO,

 6. Chochote anachofanya mtu anayemjua Mungu kinatakiwa kiwe kwa utukufu wa Mungu!Je,anayefanya hiyo kunamtukuza Mungu?4 me,i don’t think xo.

 7. Hii hafai kabisa!!
  Eti jamani ni bora kuwa mtumwa wa mwili lakini siyo mtumwa wa akili!!!
  Eti jamani wanawake mambo madogo ya kidunia kama haya yanataka kuwafanya mumkosee MUNGU!!!

 8. Hivi kweli kama waliweza kupata ujasiri wa kubadili nywele na rangi ya ngozi hili la kusimamisha matiti ambalo hutakuwa nalo kwa uhakika wa asilimia zote kama amefanya au hajafanya litashindikanaje? Tuombeane tu.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s