14 comments on “MUIGIZAJI MAARUFU NA MWIMBAJI WA NEEMA GOSPEL CHOIR “THE GREAT STEVEN KANUMBA” AFARIKI DUNIA.

 1. Mmmmhh! Haya maisha?
  Mwenzenu hali yangu mbaya
  kwaajili ya mshtuko wa hiki
  kifo.R.I.P Steven Kanumba.

 2. Kaka acha taarifa ya msiba
  ilivyonifikia ilikiwa kama bomo la
  mkono,sikia ilikuwa hivi Erick
  kanumba kanumba kanumba
  amefariki amefariki waambie
  waambie rafiki zako.

 3. sote tu wapitaji katika hii dunia kwa hiyo hatuna budi kumwombea kwa mwenyezi Mungu apumzike kwa Amani.

 4. Mungu anaitaj tujfunze k2 kuptia hil,inauma sn kijana mdogo alyekuwa na maono makubwa na kuipeleka inch ya Tz ktk mataifa makubwa naata tucko tambulika leo nyota imezmika ni nani atakaye shika kjit chake na kukiendeleza kpaj hk?,nani atakaye toa ajra kwa vjana na watoto km yy alvyo fanya?nani atakaye leta wasanii wa nje kufanya kaz na wa Tz?Inauzunisha sn R.I.P big up Jembe

 5. I am commenting to make you know what a superb experience my cousin’s girl experienced reading through your blog. She discovered numerous pieces, including what it’s like to possess a great helping spirit to let many more without difficulty understand certain tricky things. You really did more than her expected results. Thanks for offering such great, healthy, revealing and even easy tips on that topic to Lizeth.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s