24 comments on “PICHA YA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA MUDA MFUPI KABLA YA KUPELEKWA CHUMBA CHA MAITI KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI.

 1. Amekufa kwenye hali mbaya atajiteteaje?kwa muumba wake kwa sababu alikuwa na lulu chumbani jamani ngono mbaya sana lakini anakoenda anajua mwenyewe aliishi maisha ya anasa sana

  • Karim abuu….who are you to judge someone else???sounds to me kama ulikua na wivu nae na maisha aliyopewa na Mungu..alipewa kipaji akakitumia kwa manufaa ya jamii na akawa na maisha mazuri…mambo ya anasa yanakuhusu nini wewe??Hata kama angekua na wanawake elfu chumbani…you never know what happened in the last second of his life.Mungu anakupa nafasi ya kutubu hata wakati unakata roho. Stop judging people and start repenting for YOUR own sins.Marehemu huwa hana ubaya…respect that saying….

   • Ahante kaka@COMFORT ….. huyo karimu hata vitabu vya dini inaelekea havijui ingawa anataka kutupumbaza kuwa dini anaijua…… tuache kuingilia majukumu….. hilo ni jukumu la Mungu…….. ana jibu lake…….

  • usihukumu ili nawe usije hukumiwa kwa kiasi kilekile ulichotumia kumuhukumu mwenzio,kwani hujui kuwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe,kwani hujui hata malaya aliokolewa kwasababu alinena ukweli…

  • Hakuna alye na hak chin ya jua kumhukum menzake yote tumwachie Mungu bali njia impendezayo Mungu na kujisafisha kila wakati mana atujui saa wa majila

 2. buriani steven kanumba R I P actor… May ALLAH sorry for you.. kila nafsi itakufa sisi wote tupo kwenye njia hiyohiyo.

 3. Kweli tunabidi kukoka kikweli kweli na sio vinginevyo maana baada ya kifo ni kukutana na mungu tu na sijuia mweneztu ameingia wapi -ukizingatia hali aliyoondoka nayo
  Mungu atusaidie

 4. Mshikaji alikua m2 waajabu sana,pa1 nakua nahali nzuri ya kimaisha uwez amin alikua anajichanganya na kila m2,masikin kwa matajiri.Kiukwel ime2uma wengi hasa mm nilitaka shav kutoka kwake da mungu amlehem amina.

 5. TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO!ana kusud lake why kamwita kaka ye2 kanumba..yt 2nakwachia ww Mungu muweza wa yt

 6. At Comfort ukweli siku zote una uma mwenzako alikua ana toa nasaha kwa walo bakia sio kwamba anamhukumu

  • Hizo nasaha zake angejihusisha na yeye lakini kajitoa pengine ndio anayedhulumu yatima namba1,Kuna kisa kimoja kilitokea enzi za mtume S.A.W,kulikuwa na mtu yeye ulevi na yeye anasa yeye uzinifu,mabaya yote unayoyajua wewe alikuwa nayo kiumbe yule na cku anakufa watu walimsusa kumzika kwa tabia mbaya yake za kishenzi wakajitokeza watu wachache kwenda makaburini akiwepo na bwana Mtume S.A.W,Kule makaburini watu waliokuwepo walishangaa kuona Mtume anahangaika kama mtu anayebanwa ama anakanyagwa kiasi kwamba Mtume alikaa mbali na lile kaburi baada ya maziko Swahaba 1 alimuuza ewe Mtume wa mwenyezi Mungu mbona nilikuwa nakuona unahangaika kama unasukumwa mpaka ukasogea eneo la kaburi ili hali kulikuwa hakuna watu wengi:?Mtume alimjibu Kulikuwepo na malaika wengi sana walikuwa wanashindana kubeba lile jeneza ndio nilisogea mana kulikuwa hakuna nafasi,Swahaba akamuuliza iweje mtu huyu azikwe na hata malaika wengi ikiwa tabia mbaya zote alikuwa nazo mtu huyu?,Mtume akamjibu ni mtu ambaye Ikifika ramadhani alikuwa anawaachia watu waje kuvuna mihogo shambani kwake Buree japo yeye mwenyewe alikuwa c mtu wa ibada lakini kule kufuturisha kwake kijiji kizma kila inapofika mwezi wa ramadhani ndio mana Allah ameteremsha malaika waje kumzika.
   So tumuombe Muumba wetu atupe hatma njema na kufuata yale aliyoamrisha Mwenyezi Mungu Pekee ndio mwenye kujua yaliyo ndani ya nafsi zetu.

 7. Good,good,good,good sasna Comfort nimeipenda hiyo”No one can judge someone”only GOD ndo mwenye mamlaka!!!!!!

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s