2 comments on “TANGAZO MAALUMU KWA WAMILIKI WA BLOGS ZA KIKRISTO NA WANAOPENDA KUANZISHA BLOGS ZA KIKRISTO NCHINI TANZANIA.

  1. Mtumishi nashukuru sana kwa ujumbe huu. Kwa sasa niko Nairobi hadi May 4. Lakini nilitamani sana kushiriki kwani ninakusudia kuanzisha blog ya NGO ya Kanisa la Mennonite Tanzania inaitwa Jamii Empowerment Initiative. Nitafurahi sana kusikia yatakayojiri katika kikao hiki. mimi nilihitaji kupata Kijana wa Kikristo ambaye angenisaidia kuifanya blog hiyo na hata website ya NGO hii. Nakusudia kwenda Ulaya May 12 kama ingekuwa tayari ningefurahi sana. Tuwasiliane. Mch. John Wambura

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s