4 comments on “WIKI HII…………

 1. No sio kweli.Tatizo ninaloliona ni kwamba watu wanatafuta miujiza zaidi na si mafundisho zaidi kwa maana makanisa yenye kuchukua muda mwingi kujifunza na kumtafuta mungu yamekuwa yakipungia kila siku kwa maana wengi wanafuta miujiza pia wengi wanatafuta makanisa yasiyokemea dhambi na yenye kutumia muda mfupi wa ibada.

 2. Kaka Erick nakubaliana na ww na hili la kufuata miujiza ila c hili la kutafuta kanisa lisilokemea dhambi maana, miujiza haiwezi kuonekana au kutokea bila kuamini kuwa ukiachana na dhambi, Mungu wa Yakobo atakubariki na Kukuondolea Mateso yote

 3. Kabla ya hilo swali kaka Sowane, tujiulize kuwa kweli mwamko wa Kuanzishwa kwa Makanisa mengi inaonyesha ni namna gani watu wametambua umuhimu wa kuwa na Mungu ama pengine pia ni watu kutumia makanisa kama njia ya kujipatia pesa kwa ajili ya mahitaji yao?

  YAWEZEKANA kuhama kwao ni kwa sababu kama hizo

  Lakini pia Maneno ya Mungu pia yanasema kuwa mambo kama haya ni ishara za Mwisho wa dunia. Hivyo yaweza kuwa kuhama kwao ni kumtafuta Mungu kama dalili moja wapo ila pia kuwepo kwa makanisa mengi ambayo mimi hupenda kuita MINISTRIES not CHURCHES (sijui kiswahili chake) kuwa ni dalili ya siku za mwisho.

 4. Zipo sababu nyingi zinazofanya watu kuhama si kwamba wanatafuta kweli ya neno la Mungu bali wengi wao wanahama kwa sababu ya michango. Labda ya ujenzi wa kanisa, kukemewa na mchungaji kama ametenda dhambi, na wengine wanahama kwa kutoelewana na washirika au wachungaji wao.
  Wengine wanahama pia kwa sababu hawashibi kiroho kutokana na mafundisho wanayofundishwa ndo maana anaamua kutafuta kanisa lenye mafundisho mazuri.

  Ni hayo tu na Mungu awabariki.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s