9 comments on “Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kati lapata Askofu Mpya.

 1. Hongera Baba Askofu Mteule na Msaidizi wako. Mkaitende kazi ya Mungu kwa Uaminifu na Usafi wake Mkiutazama Msalaba, kwani jamii imewaamini na Mungu akawapa kibali ili Mumtumikie nasi waumini tuendelee kumtukuza Mungu.
  HONGERENI SAAAAAAAAAAAAAAANA

 2. Hivi kumetokea nini kwenye makanisa upako hakuna niwaulize tu mulisoma Matendo ya mitume 1:12-26 ni ishara gani imewaonyesha ni chaguo la Mungu. Mumesoma pia Matendo ya Mitume 5:1- 11 hivi munafikiri kwanini UFISADI umeenea makanisani lakini hakuna anayekufa . SABABU UPAKO HAKUNA . Haturidhishwi na taratibu za kanisa eti tunajali zaidi wasomi washike uongozi hata kama upako HAWANA IWAPO HATUA ZA DHATI HAZITACHUKULIWA YALE YALIYOTOKEA ARUMERU NA MWANGA YATATOKEA KOROGWE SASA HIVI

 3. KUHUSU KATIBU WETU WA KANISA LA KOROGWE AMEFUKUZWA KAZI KWA MADAI KUWA AMEKATAA KUTOA HELA BILA MAANDISHI HUU NI WIZI WALA HAUKUBALIKI.TUMEJENGA KANISA LETU KATIKA MAZINGIRA MAGUMU TUKICHANGISHANA BAADA YA WACHUNGAJI WENGI KUHUJUMU NA KUIBA MICHANGO YA KUJENGEA KANISA .MCHUNGAJI ALIYESIMAMIA UJENZI WA KANISA AMEHAMISHWA ILI IWE RAHISI KUTUVURUGA.SASA HIVI DAYOSISI IMEONA SADAKA YA AHADI ASILIMIA 33 HAZITOSHI WANATAKA ASILIMI10 KUTOKA MCHANGO WA JENGO HUU NI UFISADI WA KUPINDUKIA WASHINDWE KWA JINA LA YESU .NI UTAMADUNI WA DAYOSISI HII KUTOKUTOA MISAADA KWA SHARIKA ZAKE ZINAZOJITOLEA KUJENGA MAKANISA HUKO KILINDI WAMASAI WAMEJENGA KANISA DAYOSISI IMESHINDWA KUWASAIDIA KUEZEKA; SI AJABU JENGO LITAANGUKA;KINACHOPIGIWA UPATU NI MFUKO MPANA AMBAO HAUKO WAZI KWANI MAPATO NA MATUMIZI YAKE HAYAELEWEKI.KATIBU WETU ALIWEZA KUDHIBITI MAPATO NA MATUMIZI TUKAJENGA KANISA LETU KWANZA ALIKUWA ANAJITOLEA ALIKUWA HAPEWI MSHAHARA .TUNAKUOMBA ASKOFU MKUU ALEX MALASUSA UJE KWANZA TUMETUKANWA NA DEAN KUWA KAMA TUNA HELA MBONA TUSIJENGE GOROFA HAYA NI MATUSI

  • TUKIO LA WISLAMU KUHARIBU SAMANI ZA KANISA MBAGALA NI LA KUSIKITISHA ZAMANI MAASKOFU WETU WALIWEZA KUINGIA IKULU NA KUTOA KERO ZAO KWA RAIS SIO SIKU HIZI WAO NI KUITA WAANDISHI WA HABARI NA KUTOA MATAMKO TU HATUTEGEMEI MSAADA WOWOTE KWA KKT MAKAO MAKUU WANACHOHUBIRI NI TOENI SADAKA TU WAKIISHI MAISHA YA UFAHARI TOFAUTI NA YESU WAUMINI WAO WAKIISHI KWENYE LINDI LA UMASKINI KWANZA VIONGOZI WENGI WA POLISI DAR ES SALAAM NI WAISLAMU IWAPO WAISLAMU WALISHINIKIZA WALE VINARA WA KUHAMASISHA RAIA WAKATAE SENSA WAKAWEKWA MAHAKAMANI WAACHIWE HATA WALIOCHOMA KANISA MOTO NA KUHARIBU SAMANI HAWATAFANYWA CHOCHOTE

  • Mimi ni Mlutheri pia …naomba nikushauri ndugu yangu haya unayoyaaandika hapa sidhani kama yana tija kwa maendeleo na mustakabala wa kanisa letu;kanisa letu lina taratibu nzuri sana za ku-handle malalamiko,concerns,hoja etc hivyo ni vyema ukatumia nafasi hiyo kupeleka malalamiko yako kuliko kutumia mtandao huu kulalamika hakuna atakaekusaidia humu

 4. YALIYOJIRI KWENYE MISA YA JANA KOROGWE KWANZA NI MCHUNGAJI KIONGOZI KUKIWA KUNA BARUA YA KUSITISHA AJIRA YA KATIBU WA KANISA KWETU SISI AMEKIMBIA KWENDA USHARIKA WA EMMAU BARUA INASEMA ANATEKELEZA USHAURI KAMATI YA UKAGUZI NA BARAZA ZA WAZEE .BAADA YA KUWAHOJI WAZEE BAADHI WAMEKANA KUSHIRIKISHWA NA MCHUNGAJI TUNAOMBA MUHTASARI WA KIKAO CHA MCHUNGAJI NA WAZEE WA KANISA USOMWE ILI KUPATA MBIVU NA MBICHI HATA KAMA SERA NI KUAJIRI RASILIMALIWATU TUNAHITAJI WENYE MAADILI HATUTAKI MAFISADI ,KUOMBA UPEWE PESA BILA MAANDISHI NI WIZI WALA HATUKUBALI ZAID INASIKITISHA UPEO FEDHA TULIZOCHANGA KWA RIDHAA YETU WENYEWE KUHUSU UJENZI WA KANISA ZINAWEKWE CENTRAL POOL NA KUKOKOTOLEWA ASILIMIA YA KUPELEKWA MAKAO MAKUU YA DINARI HUU NI WIZI KAMA SIVYO MBONA WAKATI WA KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA BANGALA NA UJENZI WA SEKUKO MBONA HAZIKUKOKOTOLEWA ASILIMIA NI VEMA MATATIZO YA MAKANISA YASHUGHULIKIWE YAKIWA KATIKA HATUO YA AWALI KINACHOSIKITISHA UPAKO HAKUNA WANAZUNGUMZA UONGO WALA WEZI HAWAFI KAMA ENZI ZILE AKINA ANNANIA NA SAFIRA ILA KOROGWE TUFUNGA TUTAOMBA HILA ,UFISADI NA UKOSEFU WA MAADILI USHINDWE KATIKA JINA LA YESU MUNGU YUKO UPANDE WETU AMEKUWA AKIJIDHIRISHA KWETU ALIRUHUSU MCHUNGAJI SHETANI AKAUAWA KATIKA KIFO CHA AIBU

 5. WAISRAEL WALIPOMWASI MUNGU ,MUNGU ALIWACHA MATAIFA WAKAPIGA TAIFA LA ISRAEL IKO MIFANO MINGI KWENYE BIBILIA ,NI VEMA WAKRISTO TUTAFAKARI NYENDO ZETU KWANINI MUNGU AMETUACHA TUKIENDELEA KUMSINGIZIA SHETANI WAKATI NI SISI TUMEFARAKANA NA MUNGU HAITUSAIDIA TUMENYANG’ANYWA UPAKO KAMA MFALME SAULI ALIVYONYANG’ANYWA ENZI ZA KALE TUNATUMIA MAGUVU SAWA NA MATAIFA ROHO WA MUNGU HASIKII MAOMBI YETU NI VEMA TUTAFAKARI TUMTATAFUTE MUNGU TUTUBU MUNGU HAPENDEZWI NA MATENDO YETU TUNACHOFANYA NI SIASA WALA SI KUHUBIRI WATU WAMRUDIE MUNGU TUSIPOANGALI DHEHEBU LA KIKRISTO LITAFUTWA KWENYE USO WA DUNIA SASA JE NI ENZI ZA MPINGA KRISTO ZIMEWADIA BILA SISI KUJUA?????

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s