4 comments on “Mwl. Christopher Mwakasege; Zijue Karama Za Roho Mtakatifu – II

  1. shalom…! somo limenipa ufahamu kwa upya juu ya karama za ROHO MTAKATAIFU pia nimepata upeo wa kuweza kupambanua Roho inayotumika kwa unabii kama yatoka kwa MUNGU au la. naamini wengi watapona kwa ujumbe huu kama ilivyokuwa kwangu . AMEN.

  2. Kwa kweli nimepata kitu cha tofauti sana mara nyingi nimefundishwa karaza za roho mtakatifu lakini Mwl Mwakasege amefundisha kwa namna ya tofauti sana Mungu ambariki sana Mtumishi huyu ameelezea kwa uwazi mno halafu hata rejea zake ni nzuri sana.Amen

  3. Shallom mtm.nimefurahi sana kupata mafundisho haya,nilikuwa natafuta sana mafundisho haya na leo ni mara ya kwanza nayapata haya katika tovuti hii yenu.Ila watumishi nahitaji sana kupata nguvu za Roho Mtakatifu na kuomba,naomba mnisaidie kwa maombi na ushauri pia,Mungu awabariki amen.

  4. ubarikiwe ktk kaz yako ya kumtumikia mungu. Mungu aendelee kukupa maarifa meng zaid ya kupambanua mema na mabaya.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s