Prayers To Accept Jesus

MAOMBI YA KUMPOKEA YESU
JE! UKO TAYARI KUMPOKEA YESU KUWA MWOKOZI WAKO SASA?
Tafadhari sema maneno haya; “Baba katika jina la mwanao Yesu Kristo, nakuja mbele zako kama mkosaji. Naomba unisamehe dhambi zangu zote. Asante kwa nafasi uliyonipa siku ya leo. Asante kwa Msamaha, na asante pia kwa Damu yako iliyomwagika kwa ajili yangu. Nakuomba usafishe dhambi zangu zote kwa damu yako ya thamani. Nakupokea uwe Mwokozi wangu kuanzia leo. Ingia ndani ya Moyo wangu, na Maisha yangu, na uwe Mungu na Mwokozi wangu. Niongoze katika njia zako, na uniongoze katika njia sahihi. Umesema katika maneno yako kupitia Warumi 10:9, kwamba: Ikiwa nitatubu kwa kinywa changu, kwamba Yesu Kristo ni Mungu, na kuamini kwa Moyo wangu kuwa Mungu alimfufua kutoka wafu, Nitaokolewa. Sasa naamini hivyo baba, katika Jina la Yesu nimeomba, AMEN!

Baada ya kumaliza maombi haya, tafadhari hakikisha unaenda kwenye kanisa lolote la Wokovu katika eneo lako, na zungumza na Mchungaji wa kanisa hilo ili akuongoze katika Maombi, na akuombee, ukiwa unaanza maisha mapya ya Wokovu. Maombi, pamoja na Neno la Mungu, ni ufunguo wa kukua kwako katika Wokovu. Lisifu Jina la Bwana Yesu!

ARE YOU READY TO ACCEPT JESUS AS YOUR PERSONAL SAVIOR NOW?
John 14:6 Jesus said unto him, I am the way the truth, and the life. No man cometh unto the Father, but by me. When Jesus Christ comes into your life supernatural power overcomes you and your life will change completely. He will give you power to become the son of God. John1:12

Please Say, “Father in the name of your Son Jesus Christ. I come before you as a sinner. I ask you to forgive me all my sins. I thank you for this opportunity you have given to me today. Thank you for the cross, thank you for your blood that was shed for me. May you wash all my sins with your percious blood Jesus. I accept you today as my personal savior. Come into my heart and my life and be my Lord and Savior. Direct me into your ways and lead me to the right path. You said in your word Romans 10:9 that if I confess with my mouth that Jesus Christ is Lord and believe in my heart that God raised him from the dead I shall be saved! I believe so father, In Jesus Name I pray Amen“.

After completing this prayer please make sure you go to a pentecostal church on your local area and speak with a Pastor who will guide you and pray with you as you begin your new life. Prayers and the word of God is the key for your growth in salvation. Praise the Name of Jesus!!

Advertisements

3 comments on “Prayers To Accept Jesus

  1. Asante yesu kwa kuniokoa mimi mwenye dhambi nitaendelea kuenenda ktk njia zako! Naomba unipe uwezo niweze kukutumikia,AMINA.

  2. Sambamba na mwongozo wako wa sala ya toba, namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya njema mimi na familia yangu

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s