Ratiba Ya Vipindi – Hhc Alive Fm

Hhc Alive Fm, ni radio ya Kikristo inayosikika kupitia 91.9Mhz kwa Wakazi wa Kanda ya Ziwa. Radio hii inasikika katika Mikoa ya Mwanza, Kagera – Bukoba Mjini, Mara – Musoma, na Mkoa mpya wa Geita.

RATIBA YA VIPINDI
Jumatatu – Ijumaa
Saa 1 – Saa 3 Asubuhi : Sunrise Live
Saa 3 – Saa 5 Asubuhi : Dira
Saa 5 – Saa 6 Mchana : Ingizo Jipya
Saa 6 – Saa 8 Mchana : Mid day Melody
Saa 8 – Saa 10 Jioni : Vipaji Halisi
Saa 10 – Saa 12 Jioni : Cross Rythm
Saa 12 – Saa 1 Usiku : Salamu za Jioni
Saa 1 – Saa 2 Usiku : Ijue kweli
Saa 2 – Saa 3 Usiku : Nyimbo za Taratibu
Saa 3 – Saa 4 Usiku : Kipindi Maalum cha Bishop Murisa
Saa 4 – Saa 5 Usiku : Nyimbo za Taratibu
Saa 5 – Saa 6 Usiku : The Night of Paradise
Saa 6 – Saa 7 Usiku : Salamu za Usiku
Saa 7 – Saa 11 Alfajiri: Nyimbo za Taratibu
Saa 11 – Saa 12 Asubuhi: Amka na 91.9
Saa 12 – Saa 1 Asubuhi : CDP Swahili

HHC ALIVE FM, SAUTI YA TUMAINI!!!

Kama upo nje ya Jiji la Mwanza, unaweza kuisikiliza Hhc Alive Fm kupitia; www.hhcalivefm.org

Advertisements

4 comments on “Ratiba Ya Vipindi – Hhc Alive Fm

  1. ni redio bomba ambayo inasikilizwa hasa maeneo ya nje ya mji wa Mwanza, na pia imekuwa ni msaada mkubwa sana kwa wakazi wote wa kanda ya ziwa.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s