3 comments on “Yaliyojiri kwenye Harusi ya Erick Brighton wa Praise Power Radio.

  1. Congratulation mzee wa kesha na Praise power. Dawa ya ndoa ni kupendana, mabembelezo, msamaha, na mwisho mdumu katika sala.

  2. Mimi Patra nawatakia maisha mema yenye amani na furaha, Mungu awajalie mzae watoto wakue katika hekima na kimo, na wawe wacha Mungu.

Nini Maoni yako Juu ya Hili?