Blog hii sasa imehama. Unaweza kutembelea blog hii kupitia Tovuti ya; http://www.gospelnewsmedia.org
Kwa kuitembelea Tovuti hii hivi sasa,Bofya Hapa
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Blog hii sasa imehama. Unaweza kutembelea blog hii kupitia Tovuti ya; http://www.gospelnewsmedia.org
Kwa kuitembelea Tovuti hii hivi sasa,Bofya Hapa
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Mwl. Christopher Mwakasege na Diana Mwakasege , wanatarijia kufanya Semina nchini Marekani ambapo Waimbaji Flora Mbasha pamoja na ndugu wa familia moja wanaounda kundi la J’sisters wanatarajia kumsifu Mungu katika semina hiyo ya neno la Mungu itakayofanyika May 24 katika ukumbi wa Hoff Theatre, No. 0126 uliopo ndani ya chuo kikuu cha Maryland kuanzia mida ya Saa 12 jioni.
Mwimbaji wa Nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Upendo kilahiro, anatarajia kuhudumu katika Ibada ya kusifu itakayofanyika asubuhi ya Kesho tarehe 06.05.2012 katika kanisa la Toronto International Community Church(TICC) lililoko 190 Railside Road Toronto nchini Canada.
BLOG YA GOSPEL NEWS MEDIA INAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA, KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU NCHINI CANADA.